TSPCA Imekwenda Kutoa Elimu Kuhusiana Na Ugonjwa Wa Kichaa Cha Mbwa Katika Kata Ya Kinyerezi

Elimu ilitolewa kwa mitaa mitano iliyoko katika kata ya kinyerezi kwa njia ya kuonesha filamu ya mgonjwa aliyeambukizwa kichaa cha mbwa, dalili za mgonjwa wa kichaa cha mbwa na matibabu ya ugonjwa wa kichaa cha mbwa.