TSPCA huwa inafanya maadhimisho ya siku ya wanyama duniani kila mwaka kwaajili ya kutoa elimu na uelewa kwa jamii kuhusiana na kuzuia ukatili kwa wanyama

ITV imeshuhudia TSPCA ikifanya maadhimisho ya siku ya wanyama duniani tarehe 4/10/2018 ikishirikiana na wanafunzi wanachama kutoka Zanaki Primary School Upanga, Dar Es Salaam.

 

One comment

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *