Tspca Inafanya Ukaguzi Katika Makampuni Yanayofuga Wanyama Kwa Njia Ya Kibiashara.

Dar Es Salaam Zoo.

TSPCA imekuta mazingira mazuri, wanyama wanaishi katika mazingira asilia, chakula kipo cha kutosha na maji yapo ya kutosha. TSPCA imewazadia hati maalum ya utunzaji mzuri wa wanyama. ukaguzi huu ni wa kipindi cha miezi sita kwanzia January hadi June 2019.