Eneo Lingine Ambalo Tspca Walitembelea Kwaajili Ya Ukaguzi Ni Kampuni Ya Oilcom Ambao Ni Wafugaji Wa ngo’mbe, Farasi, Mbuzi, Kondoo Kwaajili Ya Biashara.

Tumetembelea maeneo ya malisho, majosho, sehemu ya mazalisho, sehemu wanakotunzwa ndama wadogo, sehemu wanakolazwa wanyama wagonjwa, maeneo wanakotunza chakula  cha wanyama nk. kifupi shamba linaridhisha isipokuwa yapo maboresho madogo tumewaagiza wafanye kwaajili ya ustawi wa wanyama. ukaguzi utaendelea tena baada ya miezi miwili.