UZINDUZI WA KAMPENI YA CHANJO YA KUTOKOMEZA KICHAA CHA MBWA KATIKA MANISPAA YA ILALA.

Katibu mtendaji wa TSPCA Bibi Johari Gessani akiwapa maelekezo watendaji wa mitaa na madiwani katika kata ya chanika na zingiziwa umuhimu wa chanjo ya kutokomeza kichaa cha mbwa.

baadhi ya watendaji na madiwani wa mitaa ya chanika na zingiziwa wakipokea maelekezo ya namna ya kuendesha kampeni ya kutokomeza kichaa cha mbwa kutoka kwa katibu mtendaji TSPCA.