Kampeni Ya Chanjo Kata Ya Zogohali Ilala.

 

 

TSPCA pia inatoa huduma ya kuosha mabanda ya mbwa iwapo tutayakuta ni machafu ambayo ni hatari kwa wanyama kuambukizwa magonjwa.

 

 

TSPCA inatoa huduma ya kutibu vidonda vya wanyama waliojeruhiwa na watu wasiojulikana na wasiokuwa na huruma.

 

 

Tspca inatoa pia huduma za kutibu majumbani (mobile clinic) pamoja na kuogesha mbwa.