Semina ya kuelimisha sheria ya wanyama

SEMINA YA KUELIMISHA SHERIA YA WANYAMA

Semina ilifanyika ukumbi wa Travertine Hotel (Magomeni-Usalama, Dar es Salaam) Siku ya tarehe 15 na 16 ya Mwezi 3 Mwaka 2012.

Semina ilihusisha wenyeviti wa Serikali za Mitaa katika Wilaya za Mkoa wa Dar es Salaam. Pia Mahakimu kutoka baadhi ya Mahakama za mwanzo pamoja na Wanausalama, Madiwani, Wadau wa sekta  za Wanyama, Walimu wa shule za msingi, Wataalamu wa mifugo  kutoka Manispaa zote za Dar es Salaam pamoja na Wanachama wote wa Tspca.

Mgeni wa Heshima alikuwa  Mh. Idd Azam, Mbunge wa Kinondoni.