Semina ya kuelimisha sheria ya wanyama

SEMINA YA KUELIMISHA SHERIA YA WANYAMA Semina ilifanyika ukumbi wa Travertine Hotel (Magomeni-Usalama, Dar es Salaam) Siku ya tarehe 15 na 16 ya Mwezi 3 Mwaka 2012. Semina ilihusisha wenyeviti wa Serikali za Mitaa katika Wilaya za Mkoa wa Dar es Salaam. Pia Mahakimu kutoka baadhi ya Mahakama za mwanzo pamoja na Wanausalama, Madiwani, Wadau wa sekta  za Wanyama, Walimu wa shule za msingi, Wataalamu wa mifugo  kutoka Manispaa zote…

Matukio ya ukatili kwa wanyama

MATUKIO YA UKATILI KWA WANYAMA 1.SUMBAWANGA Mbwa alipewa jina Immigration. taasisi ya Immigration waliamua kwenda mahakamani na Mbwa alipewa adhabu ya kifo na kisha kupigwa risasi.   2.KISARAWE Mfugaji alikamatwa akilisha ng’ombe katika msitu wa hifadhi katika manispaa ya kisarawe. Ng’ombe walifungiwa siku saba(7) bila kula na mfugaji aliwekwa rumande siku tatu(3) kisha akatolewa na ng’ombe aliendelea kuteseka.   3.KIMARA-DAR ES SALAAM Mzee mmoja wa kimara alikutwa akiwafukia Mbuzi wakiwa…